Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel, amewataka
wananchi wake kuendelea kujikinga dhidi ya ugonjwa hatari wa
Corona kwa kufuata maagizo yanayotolewa na serikali.
Kwa upande mwingine mkuu huyo wa mkoa amewaomba
viongozi wa madhehebu mkoa humo, na wenyewe kuendelea
kuwaelisha waumini wao juu ya janga hili la Corona na
kuchukua ahadhari.



