Serikali kuboresha elimu kuanzia ngazi ya msingi.

In Kitaifa

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolph Mkenda
amezindua mradi wa ujenzi wa jengo la maktaba na mahabara za
Sayansi na Tehama,katika chuo cha ualimu Butimba cha jijini

Mwaza,ambapo ujenzi wake umegharimu shilingi milioni mia
nne mpaka kukamilika kwake.


Prof Mkenda amesema katika kuhakikisha sekta ya elimu nchini
inakua,serikali imechukua hatua ya kuleta mapinduzi ya
utumiaji wa njia za kidigital katika utoaji wa mafunzo,ili
kuwaandaa vijana wanaohitimu,kuweza kuwa na ujuzi ikiwa ni
pamoja na uwezo wa kujiajiri pindi wanapohitimu masomo yao.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu