Serikali yafunguka ukweli kuhusu jiwe la rubi la kilo 2.8

In Kitaifa

Serikali imekiri kuwa na taarifa kuhusu jiwe la rubi lenye uzito
wa kilo 2.8 ambalo linatajwa kuwa linatoka Tanzania lakini
bado haijathibitika.


Hata hivyo tayari mmiliki wa jiwe hilo amejulikana kuwa
anatoka nchini Marekani katika mji wa Carifonia na sasa
Serikali inafuatilia nyaraka za umiliki wa jiwe hilo tangu awali.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi bungeni na Naibu Waziri wa
Madini Dk Kiruswa,alipokuwa akijibu swali la nyongeza la
mbunge wa Mkinga Dustan Kitandula.


Mbunge huyo aliomba kufahamu kuhusu uvumi wa taarifa za
mitandao kuwa jiwe hilo kubwa lenye thamani ya fedha nyingi
limetoka Tanzania.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu