.
Serikali imevunja mkataba baina ya jeshi la zimamoto na
uokoaji na kampuni ya ROM Solutions Co Ltd, baada ya
kubaini mapungufu yaliyokuwepo kwenye mkataba huo.
Mkataba huo uliingiwa kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya jeshi
hilo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi trillion moja za
kitanzania.
Hayo yameelezwa mapema hii leo na waziri wa mambo ya
ndani ya nchini George Simba chawene alipozungumza na
wanahabari.



