Siku ya Majaribio ya Treni ya umeme Dar/Moro yatajwa.

In Kitaifa

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Reli Tanzania TRC Masanja
Kadogosa amesema kuwa mwisho wa Mwezi April Treni ya
umeme ya majaribio itaanza kutembea kutoka Dar es salaam
hadi mkoani Morogoro ikiwa ni kwa ara ya kwanza kwa kipande
hicho.


Ameyasema hayo mbele ya Waziri wa Ujenzi na uchukuzi Prof
Makame Mbarawa,wakati wa zoezi uwekaji wa jiwe la msingi la
ujenzi wa Reli ya kisasa kutoka Makutupora mkoani Dodoma
hadi Tabora.



Kwa upande wake waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Professor
Mbarawa,amemtaka mkandarasi kukamilisha mradi huo kwa
wakati,na hatavumilia kuona uzembe kwani serikali imeshalipa
fedha zote za maradi huo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu