Shirika la Umeme nchini Tanesco,wamekuja na huduma mpya ya Niconnect ambapo wateja wanaweza kuunganishiwa umeme kwa kutumia simu zao za kiganjani.
Kutaka kujua huduma hii inafanyaje kazi mtaa wa mastory kwa uzuri tumeinasa sauti ya Moshesi Mfukwe Afisa uhusiano na wateja wa shirika hilo mkoa wa Manyara,amefunga zaidi.



