Tanzania yaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika.

In Kitaifa

Taifa la Tanzania leo limeungana na Mataifa mengine barani
Afrika katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa Afrika,ambapo
kitaifa imefanyika jijini Dodoma.


Kama huukuwa ukifahamu ni kwamba kunako Mwaka 1991
Wakuu wa OAU walianzisha Siku ya Mtoto wa Afrika kama
kumbukumbu ya uasi dhidi ya wanafunzi uliotokea hapo tarehe
16 Juni 1976 huko Soweto, Afrika Kusini.


Wakati huo wanafunzi waliandamana kupinga mfumo na elimu
Duni waliokuwa wanapatiwa,pili waliitaka Serikali ya kibaguzi
ya Afrika ya Kusini kuboresha mfumo wa lugha ya kufundishia.


Katika kuiadhimisha siku hii hapa nchini mgeni rasmi alikuwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi
Maalum  Dkt Doroth Gwajima,na katika hotuba yake mbali ya
mambo mengine amezungumza adhma ya serikali kurekebisha
tena sera ya mtoto ili kuwalinda na vitendo vya unyanyasaji.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu