Tazama Video ya Wimbo wa Msanii Mpya Tanzania mwenye Miaka 10 ni HatariIn Burudani Mohammed Omary a.k.a MUDY MOKO mwenye Umri wa miaka kumi ( 10 ) ni mwanafunzi wa darasa la nne shule ya msingi tabata. Karibu kutazama Video yake ya kwanza ya SINGELI iitwayo MWANENU iliyofanywa na Eric Mlindima chini ya KWETU STUDIOS. 0 Share Share Tweet Previous Post China yazindua manowari yake ya kwanza yakujiundia yenye uwezo wakubeba ndege za kivita. Next Post Rais Magufuli kupokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma. radio5-admin Join Our Newsletter! Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address. Leave this field empty if you're human: You may also read!WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA BARABARA YA SOMANGA April 16, 2025 7 0 CommentsBy: contributor contributor Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asubuhi ya leo Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua Miundombinu ya barabara kuuRead More...HATUTAWAACHIA CCM NAFASI TUTASHIRIKI UCHAGUZI MKUU – ACT WAZALENDO April 16, 2025 8 0 CommentsBy: contributor contributor Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema chama hicho kitashiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwakaRead More...Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamohanga Afariki Dunia April 13, 2025 6 0 CommentsBy: contributor contributor Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Gissima Nyamohanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajaliRead More... Leave a reply: Cancel ReplyYour email address will not be published. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.