Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

In Kimataifa, Michezo

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu. (Le10 Sport – in French)

TH

Chelsea wanataka kumsajili beki wa kati wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt, 22. (Mirror)

FC Basel inafikiria kumchukua mlinda lango wa Liverpool na Ujerumani Loris Karius, 28. (Bild – in German)

Barcelona italazimika kulipa euro milioni 1.8 (£ 1.5m) ili kumtoa Roberto Martinez kutoka kwa mkataba wake na timu ya taifa ya Ubelgiji. (Sport – in Spanish)

Lakini Martinez amepuuza ripoti zinazomuhusisha na kazi hiyo kama mbadala anayeweza kuchukua nafasi ya Mholanzi aliye chini ya shinikizo Ronald Koeman, 58. . (Eurosport)

TH

Bayern Munich wana nia ya kumsajili beki wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, lakini mchezaji huyo wa miaka 28 anataka kusaini mkataba mpya huko Stamford Bridge. . (Bild – in German)

Liverpool wanamtazama winga wa Real Madrid na Uhispania Marco Asensio, 25 (Fichajes – in Spanish)

Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel amedokeza kwamba kiungo wa England Ruben Loftus-Cheek, 25, anapaswa kumvutia ili kuokoa maisha yake ya Blues (Express)

T

Manchester City wamekataa dau la pauni milioni 15 kutoka Borussia Dortmund kwa mshambuliaji wa Uingereza Liam Delap, 18 (Football Insider)

Arsenal na AC Milan wana nia ya kumsajili winga wa Uholanzi wa Club Brugge Noa Lang, 22. (Express)

Skauti wa Barcelona wamemtazama mlinda mlango wa Brighton Carl Rushworth, 20, ambaye kwa sasa yuko mkopo huko Walsall. (Mirror)

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu