Vyama 15 vya saiasa vyaungana kuipinga chadema.

In Kitaifa

Muungano wa vyama 15 vya siasa nchini, umepinga hatua ya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukosoa na
kuwahimiza wananchi kupinga yaliyowasilishwa kwenye ripoti
ya kikosi kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan
mapema mwaka huu,kwa ajili ya kutafuta muafaka wa kitaifa
wa vyama vya kisiasa.


Vyama hivyo ni pamoja na ADA TADEA, CCK, DP, TLP,
UPDP, AAFP, UMD, SAU, NRA, UDP, NLD, Demokrasia
Makini na ADC.


Akiwasilisha hoja za vyama hivyo Katibu Mkuu wa chama cha
ADC na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Baraza la Vyama
cya Siasa Doyo Hassan Doyo, amesema Chadema imeonyesha
Ubinafsi wa hali ya juu, kwa kuwa ni wazi kuwa kilisusia vikao
vya wadau wa siasa jijini Dodoma, huku wakituhumu kuwa

hawawezi kukaa meza moja na msajili wa vyama vya siasa
kutafuta muafaka.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu