Wabunge watoro watakiwa kuhuduria kikao kesho.

In Kitaifa

Naibu Spika wa Bunge Mh Mussa Azzan Zungu,ametoa wito
kwa wabunge watoro bungeni,kuhakikisha kesho wanahudhuria
kikao cha bunge kwani ndio siku ya kuliahirisha bunge,ambapo
waziri mkuu atatoa hotuba hivyo ni muhimu wote kuhudhuria.
Naibu Spika Zungu ametoa wito huo alipokua akitoa matangazo
mbali mbali,wakati wa kuhairisha kikao cha bunge cha leo june
29 2022.


Pia akazungumzia suala la kuendelea kwa michango mashuleni
licha Rais Kufuta ada,na kusema inawanaumiza wazazi kwani
michango kama ya umeme,mlinzi na mingine mfano wa hiyo
ingeweza kulipwa na halmashauri kama inavyofanya
halmashauri ya jijini la Dodoma.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu