Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Wagonjwa wawili wamethibitika kuwa na Covid 19 na hivyo kufanya jumla ya Wagonjwa waliothibitika nchini mpaka sasa kufikia 6.
Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la