Wakandarasi wazalendo wapata changamoto.

In Kitaifa

Naibu Waziri Elias Kwandikwa amewataka wakandarasi wazalendo kuongeza juhudi katika miradi ya ujenzi hapa nchini hadi kufikia zaidi ya asilimia 60 ili waweze kupewa fursa za miradi mingi ya ujenzi wa barabara na miundombinu mingine kama ilivyo kwa makampuni ya kigeni

Ikiwa ni ziara ya naibu waziri wa ujenzi kukagua barabara za Nangurukuru Liwale, Liwale Nanchingwea pamoja ruangwa nanganga nachingwea pamoja na madaraja yanayoendelea kujengwa katika wilaya hizo pamoja na kujionea alipata fursa ya kuongea na wanahabari na kutoa wito kwa wakandarasi

Mhandisi Felix Aminiel wa southern link kampuni inayotengeneza daraja la Nandanga Lukuledi na kipande cha barabara kuunganisha wilaya ya ruangwa na ndanda wilayani masasi huku Rashid Lipei mkazi wa kata ya Mandawa ruangwa akitoa rai kwa naibu waziri

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu