Waliokosa nafasi kidato cha nne wapewa maelekezo.

In Uncategorized

Waziri wa nchi ofisi ya rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo, ametoa wito kwa wanafunzi
waliokosa nafasi za kujiunga na masomo ya kidato cha tano kwa
kukosa tahasusi zinazokidhi vigezo.


Wanafunzi hao wametakiwa kuomba nafasi za masomo katika
vyuo vinavyosimamiwa na NACTE ili kuweza kupata nafasi ya
kuendelea na masomo katika vyuo hivyo.
Jafo ametoa wito huo jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu
matokeo ya uchaguzi wa awamu ya pili ya wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu