Wanaume wasiofanyiwa tohara kunyimwa Unyumba.

In Kitaifa

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM Jacqueline Msongozi,
amewataka wanawake nchini kutokukabali kushiriki tendo na
wanaume ambao hawajafanyiwa tohara,kwani itawasababishia
kupata saratani ya shingo ya kizazi.


Mhe Jacqueline ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma,wakati
akichangia mjadala wa bajeti ya wizara ya Wanawake,Jinsia,
watoto na watu wa makundi maalum.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu