Watumishi 1,477 wasimamishwa kazi.

In Kitaifa

Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma Mh Deogratius Ndejembi,amesema watumishi wa umma
wapatao Elfu moja mia nne sabaini na saba,wamesimamishwa
kazi kwa kukiuka sheria, kanuni, taratibu na miongozo
inayosimamia nidhamu katika utumishi wa umma.


Ndejembi ameyasema hayo leo Bungeni jijini Dodoma,wakati
akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mlimba CCM Godwin
Kunambi.


Mbunge Kunambi aliuliza namna mashauri yanayoendelea
kusikilizwa na Tume ya Utumishi wa Umma yanachukua muda
mrefu sana.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu