Waziri Mkuu Mgeni rasmi maombi maalum.

In Kitaifa

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii,J insia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini imeandaa maombi maalum ya kitaifa ya kuiombea nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na virusi vya corona.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara hiyo kwa vyombo vya habari, maombi hayo yatafanyika kesho katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam, kuanzia saa tatu kamili asubuhi na mgeni rasmi atakuwa ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa .

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu