Waziri mpina acharuka mgogoro wa wakulima na wafugaji.

In Kitaifa


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amefanya ziara yake
Wilayani Chemba mkoa wa Dodoma, na kukutana na wafugaji
na wakulima ilikutatua migogoro iliyokuwa ikiwakabili.

Akizungumza na wananchi hao amewataka viongozi wa maeneo
hayo kuitatua migogoro hiyo na kuwataka wanachi kupendana.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu