WhatsApp Kuanzisha Huduma ya WhatsApp Money kwa ajili ya kutuma na kupokea Fedha

In Tekinolojia

Hakika Mtandao Namba moja Duniani kwa Kutumiana Jumbe na Mafaili mbalimbali, WhatsApp wameamua kwamba Airtel Money, M-Pesa na Tigo Pesa Wajipange kupoteza Wateja.

Wamiliki wa WhatsApp wameamua Kumuajiri Mkurugenzi mpya ambaye ataongoza  jitihada hizo za malipo ya dijitali Duniani wakianza na Nchi ya India ambapo wanaamini ndipo walipo na Watumiaji WhatsApp wengi zaidi ya Nchi zote Duniani.

WhatsApp Wamesema Huduma yao hiyo mpya itashirikiana na mabenki katika kusaidia miamala ya kidijitali kwa kutumia WhatsApp. India ina watumiaji wa WhatsApp milioni 200 kila mwezi ambayo ni moja ya tano ya watumiaji wake wote ndiyo sababu ya wao kuamua Kuipeleka huduma hiyo nchini humo kabla ya sehemu zingine.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

ZOEZI LA UOKOAJI HANANG, MAWAZIRI WAFIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent

Read More...

RC MBEYA AFANYA UZINDUZI ZOEZI LA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA (NIDA)

Mkuu wa mkoa wa mbeya Mhe. Comrede Juma Zuberi Homera amefanya uzinduzi wa wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho

Read More...

MAADHIMISHO YA WATOTO DUNIANI YAFANYIKA ARUSHA

Siku ya watoto duniani kitaifa imeazimishwa hapa jiji Arusha katika hoteli ya mount meru na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu