Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro Zuena Bushiri
ameiomba Serikali kudhibiti wizi wa fedha kwa njia ya
mitandao ya simu.
Ombi hilo amelitoa leo mei 2, 2023 Bungeni jijini Dodoma
wakati akiuliza Maswali ya nyongeza katka kipindi cha maswali
na majibu kwa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya
Habari.
Akijibu swali hilo na la pil la nyongeza naibu Waziri wa Habari,
Mawasiliano na Teknoloja ya Habari Mhandisi Mathew Kundo,
ameitaka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA Kufanyia
kazi malalamiko hayo.



