World Vission wasisitiza Ulinzi kwa watoto.

In Kitaifa

Imeelezwa kuwa suala la Kumlinda Mtoto ni Wajibu wa kila mmoja katika Eneo lolote alipo ili kuhakikisha Taifa linakuwa bora na kutengeneza Viongozi wajao.

Kauli hiyo imetolewa na Mtaalamu wa jinsia na Utetezi kutoka Shirika la World Vission Tanzania Bi. Tumain Fredy wakati akizungumza kulekea Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa June 16 ya kila Mwaka.

Bi, Tumain amesema suala la kumlinda Mtoto ni Jukumu la kila mmoja bila kujali huyo ni Mtoto wa nani.

Katika hatua nyingine amesema WORLD VISSION wameamua kushirikiana na Viongozi wa Dini katika kupambana kulinda haki ya Mtoto kwa sababu Viongozi hoa wana uwanda mpana wa kukutana na Jamii.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu