Bunge la China lauwekea sheria wimbo wa taifa.

In Kimataifa, Siasa

Bunge la China linatafakari juu ya rasimu ya sheria, ambayo itarasimisha kuwa ni kosa la jinai linalostahili hukumu ama kifungo, juu ya tabia ya kudharau wimbo wa kitaifa wa nchi hiyo.

Kosa kubwa zaidi litakalochukuliwa kama uhalifu mkubwa, ni kwa wale wanaorejelea maneno ya wimbo huo wa taifa na kutumia mashairi ya wimbo huo vibaya.

Watakapokamatwa na kuthibitika kutenda kosa hilo, wao watahukumiwa kifungo cha miaka kumi a mitano jela.

Mamlaka nchini China wanataka watu ambao watajitolea kuzingatia matukio rasmi,kama vile mikusanyiko ya kisiasa na katika michuano ya mpira wa miguu.

 

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu