Spika wa Bunge Job Ndugai awaagiza Polisi Kumkamata na Kumpeleka na Pingu, Halima Mdee

In Siasa

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai Mapema leo amewataka Jeshi la Polisi kumkamata na kumfikisha Bungeni Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee akiwa na Pingu.

Spika alitaja kosa linalomkabili Mbunge huyo kwamba ni Utovu wa Nidhamu uliopitiliza ambapo juzi April 4 mwak huu 2017 alitoa Lugha chafu za matusi kwa  Spika wa Bunge wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.

 job ndugai
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai

Kwa upande mwingine Spika amemtaka pia Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kufika mwenyewe katika kamati ya maadili, kinga na madaraka ya Bunge siku ya leo kwa ajili ya kujibu tuhuma za kulidhalilisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Image result for mbowe bungeni
Freeman Mbowe

ZAIDI SIKILIZA HAPA CHINI

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu