FRENCH MONTANA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA.

In Burudani, Kimataifa

French Montana anatarajiwa kuachi albamu yake mpya “They Got Amnesia” Ijumaa hii, Novemba 12.
Kufikia sasa, rapper huyo ametoa nyimbo mbili, kutoka kwenye album ambayoni ‘I Don’t Really Care’ikiwa no 4 na ‘Panicking’ no 9. amezindua orodha rasmi ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo ikiwa na ngoma 20 pamoja na bonus track 1.


They got amnesia imewakutanisha wakali mbalimbali kama Rick Ross, John Legend, Pop Smoke, Kodak Black, Doja Cat, Saweetie, Latto, Ty Dolla Sign, CoiLeraynawengineo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu