Babu Tale asema Paul Makonda anajua Roma na Wenzake walipo

In Burudani

Manager wa Diamond, Babu Tale amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar-Es-Salaam yeye ndiye anayejua alipo Msanii Roma  na Wenzake waliotekwa juzi Jumatano jioni katika Studio za Tongwe Records Jijini Dar.

Babu Tale ametumia Mtandao wa Instagram Kuelezea hisia zake hizo kwa kupost Picha hii hapa chini ya Paul Makonda na Kusisindikiza na Maneno hayo hapo Chini ya Picha.


“Uoga ni uzembe me nazani mwenye jukumu la kujua Roma yupo wapi ni Mkuu wa koa sababu yeye ndio kiongozi wa kamati ya usalama ya mkoa sasa ikiwa tumezunguka vituo vyote vya polisi na mwenzetu atumuoni nani wa kumfuata kumwambia tunamtaka mwenzetu kama sio @paulmakonda me naanza hili bila uoga mkuu wa mkoa naomba utusaidie kutuambia mnzetu @roma2030 alipo. Tukutane Tongwe mida hii me nipo kwa foleni wakuu #uogauzembe#freeroma”

Kufuatia Post hiyo ya Babu Tale Watanzania wametoa Maoni yao mbali mbali unaweza kuyasoma kwa kufuatilia Post hiyo hapo chini ikiwa kwenye instagram moja kwa moja

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu