CCM Tanga wajitosa vita dawa za kulevya.

In Kitaifa

Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Tanga,kimejitosa katika
vita dhidi ya dawa za kulevya ikiwataka wanachama wake ngazi
ya mashina, kuhakikisha mkoa huo hauwi lango la walanguzi wa
dawa za kulevya.


Kauli hiyo ya CCM imetolewa na Mwenyekiti wake mkoani
hapo Rajab Abdulrahaman wakati akizundua mashina mapya ya
chama hicho.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

DC Magoti apiga Marufuku pikipiki kubeba mkaa.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani ndugu PetroMagoti,amepiga marufuku piki piki kubeba mkaa katika Wilayahiyo kuanzia leo July

Read More...

Hali ilivyo Kenya sasa baada ya maandamano

Baada ya maandamano yaliyofanyika nchini Kenya juu ya Muswa wa sheria ya Fedha,leo tumezungumza na ndugu Daniel Orogo mchambuzi

Read More...

Rais wa Msumbiji kufungua maonesho ya sabasaba

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ambaye anatarajiwa kuwasili nchini kesho kuanza ziara ya kikazi, anatarajiwa kufungua rasmi Maonesho ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu