Chama cha wananchi CUF leo kimezungumza na wanahabari,na
kuelezea barua ambayo waliyotumiwa na msajili wa vyama vya
siasa nchini,ikiwataka kutoa maeleza na sababu za kuwafukuza
wanachama wake 10 kutoka Zanzinbar na bara hivi karibuni.
Msajili wa vyama amewataka CUF kutoa maelezo hayo kufuatia
malalamiko ya wanachama hao waliyoyawasilisha kwa msajili
wakipinga Chama hicho kuwafukuza bila kufuata utaratibu.



