Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10 mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa kwa Dakika Zote hizo katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni
Bunge la Bajeti limeanza leo mjini Dodoma.
