Harmonize kuachia ngoma na Sarkodie.

In Burudani, Kitaifa

Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize ameingia location kufanya video na rapper kutoka nchini Ghana, Sarkodie.

Muimbaji huyo ambaye anafanya  vizuri na ngoma ‘Shulala’ ambayo amemshirikisha Korede Bello kutoka Nigeria amezidi kuonyesha njaa ya kutusua kimataifa. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ame-share video fupi inayowaonyesha wakiwa location na kuandika;

Let’s connect to this east & west!!! 🇹🇿 + 🇬🇭bro @sarkodie x #KONDEBOY🎥@sallam_sk#WCB4LIFE

Harmonize anaingia katika orodha ya wasanii kutoka Afrika Mashariki kufanya kolabo na Sarkodie baada ya Victoria Kimani kutoka nchini Kenya. Utakumbuka mapema mwezi huu Harmonize alionekana tena location akifanya video na Yemi Alade kutoka nchini Nigeria.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu