JAY Z Mwana HIP HOP aliyeongoza kuingiza pesa nyingi 2021

In Burudani, Kimataifa

Wakati Jay-Z na Kanye West walipozindua albamu yao ya kitambo ya Watch the Throne mwaka 2011, walipata mapato ambayo yanaonekana kuwa ya kawaida. Jay-Z aliingiza dola milioni 37, akiongoza orodha ya Forbes ya “Hip-Hop Cash Kings”, huku Kanye akiingiza $16 milioni.

Jay-Z anatajwa kuongezeka kwa pato lake ni kutokana na kuuza hisa zake za TIDAL kwa kampuni ya Square Inc. Nafasi ya pili inashikiliwa na rappa Kanye West ambaye inatajwa pato lake kubwa limeongezeka kupitia biashara zake za bidhaa za Yeezy.


Kumekuwa na maingizo mapya huku Doja Cat akiwa mwanamke pekee aliyemo katika orodha hiyo ya wanamuziki 10 wa Hip hop walioingiza fedha nyingi, akiwa katika nafasi ya 10.

orodha kamili.

1. JAY-Z – $470 million
2. Kanye West – $250 million
3. Diddy – $75 million
4. Drake – $50 million
5. Wiz Khalifa – $45 million
6. Travis Scott – $38 million
7. DJ Khaled – $35 million
8. Eminem – $28 million
9. J. Cole – $27 million
10. Birdman – $25 million
10. Doja Cat – $25 million
10. Tech N9ne – $25 million

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

NIFFER NA CHAVALA WAACHIWA HURU NA MAHAKAMA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewaachia huru leo mchana vijana Jennifer Jovin (26), maarufu kama

Read More...

Trump kukutana na viongozi wa Rwanda na DR Kongo Alhamisi

Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku ya Alhamisi

Read More...

SERIKALI YAAGIZWA KUFUTWA KWA LESENI 73.

Serikali kupitia Wizara ya Madini imeielekeza Tume ya Madini kufuta jumla ya leseni 73ambazo maeneo yake hayajaendelezwa. Hayo yameelezwa leo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu