Tukio la kushangaza na kusikitisha limetokea Kagera baada ya kichanga cha siku moja kuokotwa pembezoni ya mto Kanoni manispaa ya Bukoba kikiwa kimekufa, mama wa kichanga hicho akiwa hajulikani alipo wala sababu za kufanya ukatili huo.
Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la