Picha: Joh Makini na Davido Wakamilisha Video ya Collabo yao

In Burudani

Habari nzuri ni kwamba Mwamba wa Kaskazini Joh Makini na Staa wa Nigeria Davido wamemaliza Ku-shut Video ya Wimbo wao wa Pamoja.

Joh Makini na Davido wakiwa On Set na Warembo

Wakati Joh Makini akiendelea na Utaratibu wake wa Kutoongea Kitu kabla hakijawa Tayari, Davido yeye ameshindwa kuvumilia na Kutuvujishia Habari hii kupitia Account yake ya Instagram yenye Wafuasi Milioni 3 na Laki 8.

Davido amepost Picha hii hapa Chini na Kutupa taarifa kamili kwenye Caption kwamba Video hiyo imefanyiwa huko Jijini Johannesburg Nchini Afrika ya Kusini.

HII HAPA NDIYO PICHA ALIYOPOST DAVIDO NA JOH MKINI AKAI-REPOST

 

Back to work !! On set ? shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ ?? x NAIJA ?? !!

A post shared by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu