Profesa Mbarawa, mwakyembe wazindua kitabu.

In Uncategorized

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa wamezindua kitabu chenye taarifa za watumiaji wa huduma za mawasiliano.

Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu