Rais asema Deni la Taifa limekuwa ila ni himilivu.

In Kitaifa

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Mama Samia
Suluhu Hassan,amesema pamoja na Tanzania kuwa na mikopo
mikubwa,lakini bado tunakopesheka na taasisisi mbali mbali za
kimataifa kwani deni letu linahimilika.


Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameyaeleza hayo mapema hii
leo Ikulu jijini Dodoma katika mahojiano maalum.

Katika hatua nyingine Rais Samia Suluhu amezungumzia hatua
yake ya kuruhusu kurudishwa shuleni watoto wa kike waliopa
mimba,akitolea mfano Zanzibar ambao walianza kufanya hivyo
mda mrefu na kuleta matokeo mazuri.


Lakini pia akaeleza uamuzi wake ulitokana na baadhi ya mataifa
kuanza kuinyooshea kidole Tanzania kuwa inakiuka haki za

kibinadamu kwa kuweka zuio kwa watoto hao waliopata mimba
kutoendelea na masomo.

Jingine alilolizungumza ni juu ya tatizo ajira akikiri kuwa ni
tatizo lililopo lakini ni tatizo la dunia nzima,hivyo akaeleza
kinachofanywa na Serikali yake kukabiliana na changamoto

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu