Rais Samia awaapisha Wateule wake Ikulu Chamwino.

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia
Suluhu Hassan,leo amewaapisha Viongozi aliowateuwa,tukio
ambalo limefanyika Ikuku ya chamwino jijini Dodoma.


Viongozi walioapishwa ni pamoja na majaji sita wa mahakama
ya Ruifaa na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili.


Majaji hao ni Mhe Jaji Zainab Goronya Muruke,Mhe Jaji Leila
Edith Mgonya,Mhe Jaji Amour Said Khamis,Mhe Jaji Dkt
Benhaji Shaaban Masoud,Mhe. Jaji Gerson John Mdemu,na
Mhe Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa.


Mteule mwingine ni Mhe Jaji Rose Aggrey Teemba,ambaye
ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili.
Kwa upande wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe Kassim Majaliwa,akizungumza katika tukio hilo
amewapongeza viongozi hao na kuwataka kwenda kufanya kazi
zao kwa weledi.

Katika Hotuba yake Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,licha ya
mengi aliyoyazungumza pia amejibu maombi ya Jaji mkuu Prof
Ibrahim Juma,ya kuongezewa nguvu kazi kwa upande wa majaji
wa mahakama kuu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Maagizo ya wizara kuhusu mfuko wa maendeleo ya kilimo.

Naibu Waziri Wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikaliimeanza kutekeleza uanzishwaji wa mfuko wa maendeleo yakilimo utakaosaidia kukabiliana na changamoto

Read More...

TANZIA: WAZIRI MSTAAFU WA KILIMO AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Mhe. Herman Kirigini Amefariki Dunia. Akithibitisha

Read More...

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Professor Makame Mbarawaameliomba Bunge kumuidhinishia kiasi cha Sh Trilioni 3.6ikiwa ni makadirio ya mapato

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu