Serikali kuwadhibiti wanaowavamia wachimbaji usiku.

In Kitaifa

Waziri wa Madini Dkt Doto Biteko, amesema kuwa kuna
matukia kadhaa ya watu wanaochejua Dhahabu kuvamiwa na
kuibiwa na kuwahakikishia wachimbaji hao kuwa serikali
inalaani vikali na kutoa onyo kuwa atakayejaribu kuvamia na
kumuibia mchimbaji yeyote atakamatwa na kuchukuliwa hatua
kali.

Aidha Waziri Biteko amesema kamati ya Ukaguzi wa Madini ya
Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ina jukumu
kubwa la kuhakikisha kuwa, madini yanayochimbwa katika nchi
wanachama wa jumuiya hiyo yanakuwa chachu ya amani na si
migogoro.
Dkt.Biteko ametoa rai hiyo wakati akifungua Mkutano wa 20 wa
Kamati ya Ukaguzi wa Madini ya Jumuiya ya Ukanda wa
Maziwa Makuu (ICGLR) ambapo Tanzania ni mwenyeji wa
mkutano huo unaofanyika mjini Bukoba Mkoa wa Kagera.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu