Serikali yanuia kupunguza gharama za kusafisha figo.

In Afya, Kitaifa

Serikali imesema kuwa gharama za matibabu ya kusafisha figo
ni kubwa kiasi kwamba hazibebeki,hivyo inafanya mapitio ya
kuzipunguza.


Ahadi hiyo imetolewa bungeni leo Juni 21 na Naibu Waziri wa
Afya Dk Godwin Mollel,akisema kuwa kwa sasa gharama hizo
zinafikia Shilingi laki tisa,kiasi ambacho ni kikubwa kwa watu
wa kipato cha chini.


Ametoa kauli hiyo wakati akijbu swali la nyongeza la Mbunge
wa Viti Maalumu Mariam Kisangi,ambaye ameomba gharama
hizo zipunguzwe,huku kwa wagonjwa wanaotumia bima ya afya
wapate vifurushi vya matibabu hayo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu