ULAYA YAPIGA MARUFUKU MAFUTA YA DIZELI RUSSIA

In Kimataifa

Ulaya Jumapili imepiga marufuku kwa mafuta ya dizeli ya Russia na bidhaa nyingine za mafuta yaliyosafishwa, ikipunguza utegemezi wa nishati ya Moscow na kutafuta kupunguza zaidi mapato ya mafuta ghafi ya Kremlin kama adhabu kwa kuivamia Ukraine.

Marufuku hiyo inajiri sambamba na bei ya kikomo iliyokubaliwa na kundi la nchi 7 washirika wa Ulaya.

Lengo ni kuruhusu mafuta ya dizeli yaendelee kusafirishwa kwa wingi katika nchi kama China na India na kuepuka kupanda ghafla kwa bei ambako kutaathiri wanunuzi duniani kote, huku marufuku hiyo ikipunguza mapato yanayofadhili bajeti na vita vya Moscow.

Mafuta ya dizeli ni muhimu kwa uchumi wa Russia kwa sababu yanatumiwa na gari, malori yanayobeba bidhaa, vifaa vya kilimo na mashine za viwanda.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu