Wabunge CHADEMA Watangaza Kurudi Bungeni Leo Ijumaa

In Kitaifa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa muda wa Wabunge wake kukaa karantini kwa siku 14, umemalizika siku ya jana na kwamba leo Mei 15, 2020, wanatarajiwa kurejea Bungeni na kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, na kusema kuwa Wabunge wote waliotekeleza agizo la Mwenyekiti wa chama hicho Freema Mbowe, walizingatia kanuni na namna bora za kujikinga kupata maambukizi ya Virusi vya Corona.

“Wabunge wetu wote ambao walitekeleza makubaliano na uamuzi wa chama wa kujitenga kwa siku 14, leo watarejea Bungeni kuendelea na shughuli za kuwawakilisha wananchi, huku wakiendelea kuzingatia tahadhari zote za kujikinga na kuwakinga wengine” amesema Mnyika.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu