Trump atishia kusitisha uhusiano na China

In Kimataifa

Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kusitisha mahusiano na China kutokana na dhima ya taifa hilo katika kusambaa kwa virusi vya corona ambavyo hadi sasa vimesababisha vifo vya zaidi ya watu 300,000 duniani. Katika mahojiano yaliyorushwa jana Alhamis Rais Trump amerejea shutuma zake dhidi ya China akisema ilificha ukweli kuhusu ukubwa wa janga hilo wakati virusi vilipozuka mjini Wuhan mwishoni mwa mwaka uliopita. Akuzungumzia hatua ambazo nchi yake inaweza kuchukua dhidi ya China, Rais Trump amesema Washington inaweza kusitisha uhusiano wote uliopo na Beijing. Hadi sasa Marekani imerikodi zaidi ya vifo 86,000 kutokana na virusi vya corona, ambayo ni idadi kubwa zaidi kuliko taifa jingine lolote huku ikiwa na karibu theluthi ya maambukizi ya virusi hivyo duniani.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu