Ziara ya Justin Bieber yaingiza Tsh. Billion 440

In Burudani

Ziara ya Justin Bieber “PURPOSE WORLD TOUR”  iliyofanyika mwaka jana na mwaka huu imeingiza dola milioni 200 ambazo ni sawa na Fedha za Kitanzania zaidi ya 440,000,000,000.

Ziara hiyo ilianza March 2016. Hadi sasa zaidi ya tiketi milioni 2.2 zimeuzwa kwaajili ya show katika maeneo 122 duniani.

Ziara hiyo ilianza March 9, 2016 huko Seattle na awamu ya kwanza ilimalizika Nov. 29. Ziara hiyo ilianza tena Feb. 15, 2017 huko Monterrey, Mexico.

Hadi mwishoni mwa 2016, Bieber alikamata nafasi ya 5 ya orodha ya Billboard ya ziara 25 zilizoingia fedha nyingi zaidi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

ZOEZI LA UOKOAJI HANANG, MAWAZIRI WAFIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent

Read More...

RC MBEYA AFANYA UZINDUZI ZOEZI LA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA (NIDA)

Mkuu wa mkoa wa mbeya Mhe. Comrede Juma Zuberi Homera amefanya uzinduzi wa wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho

Read More...

MAADHIMISHO YA WATOTO DUNIANI YAFANYIKA ARUSHA

Siku ya watoto duniani kitaifa imeazimishwa hapa jiji Arusha katika hoteli ya mount meru na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu