Wabunge wa bunge la Muungano wamesema kodi inayotozwa Tanzania, bado ni mzigo kwa wafanyabiashara.

In Kitaifa, Siasa

Wabunge wa bunge la Muungano wamesema kodi inayotozwa Tanzania, bado ni mzigo kwa wafanyabiashara.

Wakichangia mjadala wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kifedha wabunge na wafanyakazi wa bunge, wamesema kama kodi itashushwa wanaweza kukusanya zaidi.

Mbunge wa Ilala Mussa Zungu CCM amesema kuwa, pendekezo la kushusha viwango vya tozo katika kodi ya ongezeko la thamani VAT, bado ni kubwa na inapaswa kushushwa kutoka asilimia 18 hadi 16.

Zungu amesema kiwango hicho kinaweza kuwavutia wengi katika kuanzisha biashara, ambako kutawezesha TRA kukusanya mapato zaidi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu