Leo Tarehe 6 mwezi April mwaka 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa EU, Roeland Van de Geer na Balozi wa Israel, Yahel Vilan.
HII HAPA CHINI NI TAARIFA KAMILI ILIYOTOLEWA IKULU

