BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa zamani wa (TIB) afikishwa Mahakamani.

In Kitaifa
  • Mahakama ya Juu Kenya yaidhinisha ushindi wa wa Kenyata
  • Siri yafichuka zimbabwe, huenda Makamu wa rais aliyefutwa akaongoza Taifa la Zimbabwe.

Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea, Dr. Ringo Tenga, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Radio5tz

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

CCM waongeza nafasi za Wajumbe Halmashauri kuu

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suluhu amesema ili kupanua wigo, halmashauri kuu

Read More...

Washukiwa 25 wanaodaiwa kupanga njama za mapinduzi wakamatwa Ujerumani

Maelfu ya polisi leo wamefanya msururu wa misako kote Ujerumani wa washukiwa wa siasa kali za mrengo wa kulia

Read More...

Mkuu mpya wa chuo cha Arusha asimikwa.

Chuo kikuu cha Arusha kimemsimika mkuu mpya wa chuohicho wakati wa mahafali ya 16 ambayo yamefanyika chuonihapo.  Mkuu aliyeachia nafasi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu