Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amechaguliwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu leo kuwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa Chama hicho, Kinana amepata kura zote 1875 zilizopigwa sawasawa na ushindi wa asilimia 100.
Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la