Hakika Mshahara wa Dhambi ni Mauti kama si Mauti basi Kilema.
Mke wa Rais wa Marekani Donald Trump, Bi Melania Trump, ameshinda kesi ya Kuchafuliwa jina na Gazeti Maarufu nchini Uingereza Liitwalo The Daily Mail.
Katika kesi ya msingi aliyokuwa ameifungua mwana mama huyo aliyoifungua September mwaka jana, alidai kwamba Gazeti hilo limemwandika habari ya uongo kuhusu kazi zake za Ulimwende na akadai Limuombe msamaha na kumlipa Fidia ya Dollar za Kimarekani milioni 150.
Hata hivyo baada ya Kesi hiyo kuunguruma iliamua alipwe Dollar Million 2.9.
Hatimaye gazeti hilo limemuomba mama huyo Msamaha na Kuahidi Kumlipa Fidia hiyo
“We accept that these allegations about Mrs. Trump are not true and we retract and withdraw them. We apologize to Mrs. Trump for any distress that our publication caused her,” Daily Mail na Mail Online Wameyazungumza hayo
