Habari nzuri ni kwamba Mwamba wa Kaskazini Joh Makini na Staa wa Nigeria Davido wamemaliza Ku-shut Video ya Wimbo wao wa Pamoja.

Wakati Joh Makini akiendelea na Utaratibu wake wa Kutoongea Kitu kabla hakijawa Tayari, Davido yeye ameshindwa kuvumilia na Kutuvujishia Habari hii kupitia Account yake ya Instagram yenye Wafuasi Milioni 3 na Laki 8.
Davido amepost Picha hii hapa Chini na Kutupa taarifa kamili kwenye Caption kwamba Video hiyo imefanyiwa huko Jijini Johannesburg Nchini Afrika ya Kusini.
HII HAPA NDIYO PICHA ALIYOPOST DAVIDO NA JOH MKINI AKAI-REPOST
