Rais Samia afungua mkutano mkuu wa 10 wa UWT taifa.

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia
Suluhu Hassan,leo alikuwa mgeni Rasm katika mkutano mkuu
wa kumi wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) ambapo
umefanyika uchaguzi wa ngazi ya taifa.


Baadhi ya viongozi ambao wamehudhuria katika uchaguzi huo
ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Abdulrahman
Kinana,katibu Mkuu wa cha hicho Daniel Chongolo na Naibu
Katibu Mkuu Bara Christine Mdeme.


Mtaa wa Mastory tumeinasa sauti ya Makamu Mwenyekiti Bara
Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Daniel Chongolo wakitoa
salamu zao katika mkutano hauo.

Kabla ya Mgeni Rasmi Rais Samia kuzungumza katika mkutano
huo,Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT Mama
Kabaka alieleza mambo kadhaa juu ya Jumuiya hiyo.


Kwa upande wake Rais Samia akizungumza katika mkutano huo
licha kutoa pongezi kwa kamati zilizohusika katika chaguzi
mbali mbali ndani ya chama hicho,pia amezungumza masuala
umoja huo kujiimarisha kiuchumi,lakini pia akairekebisha kauli
mbiu iliyoandaliwa na umoja huo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu