Mwanasoka wa Ivory Coast, Salomon Kalou anayeichezea pia Club ya Hertha Berliner katika ligi kuu ya Nchini Ufaransa ametwaa tuzo ya Duku Film.
Kwa taarifa aliyoiweka kwenye Account yake ya Mtandao wa Instagram kupitia video aliyoipost, Kalou ameshinda tuzo hiyo usiku wa Jumatatuya April 3 mwaka 2017 kwenye tamasha la Berlin International Film Festival.

Kwenye Video hiyo Kalou ameambatanisha na Maneno haya “Without Struggle There Is No Progress #SKLEC.”
HII HAPA NDIYO VIDEO YENYEWE
