
Tanzania imeungana na mataifa mengine katika maadhimisho ya wiki ya ugonjwa wa shinikizo la macho duniani huku takwimu zikionesha asilimia 90 ya

Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), watu wengiwanaougua COVID-19 hupata dalili za wastani na hupona bilamatibabu maalum. Lakini, kwa kuwa na kinga duni mwilini, wengine wengi huumwa sana mpaka kulazwa, na hatakupotezamaisha. “Tofauti kati ya kuugua kidogo tu na kupata nafuu bila kulazwahospitalini na kuumwa hadi kulazwa inategemea mfumo wakowa kinga mwilini ambao unahusiana moja kwa moja na kileunachokula pamoja na mtindo wako wa maisha,” anaelezeamtaalamu wa afya kutoka Faseeha Aman. Akielezea kuhusu umuhimu wa uboresha kinga za mwiliilikuzuia magonjwa kama Covid-19, Biram Fall, Meneja Mkuuwa Kanda wa Qnet katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara alisema, “…kutambua malengo yanayofaa ya afya na kuanzishatabia nzuri ni rahisi na huanza na wewe, nyumbani kwako,” Kupitia waraka kwa vyombo vya habari mwishni mwa wiki hii, Fall alisema, “…kutambua malengo yanayofaa ya afya nakuanzisha tabia nzuri ni rahisi na huanza na wewe, nyumbanikwako.” Meneja huyo alisema, ukizingatia kwamba kwenye swala la lishe bora, sio kula tu ni muhimu, bali kula chakula sahihi nakwa kiasi na wakati sahihi. Kwa mfano, maji ni uhai, lakini majimengi yamechafuliwa na bakteria na virusi, pamoja na plastikindogo, kemikali na hata chembechembe za vyuma vizito. Hivio, ni bora zaidi kuyasafisha maji kabla ya kunywa Unawezakwa kuchemsha au kutumia mifumo ya kisasa kama mashine zakuchuja maji za Qnet zilizopewa jina la HomePure Nova. Kutumia mashine hii, ni rahisi kusakinisha na hupitisha majikupitia safu tisa za uchujaji, kihakikisha maji unayokunywa nimasafi kwa asilimia 99.9%. Vile vile, kuna haja ya kujijengea mwenendo mzuri wa kulachakula chenye afya kwa kushirikiana na marafiki nawafanyakazi wenzetu. Kwa mafano makampuni mengi dunianisasa yanasistiza ulaji wachakula bora makazini. Mfano mzuri hapa ni kampuni ya Qnet ambayo ina sera yakuhakikisha mazingira mazuri ya kazi ikiwamo sheriainayokataza ulaji wa nyama nyekundu kazini na kuhimiza ulajiwa matunda na mboga za majani. Zaidi ya hapo, kampuni hiopia ina programu bunifu ya kudhibiti tatizo la uzito mkubwa. Programu hio inayo itwa BELITE123 husaidia kudumisha kingaya mwili na kuondoa sumu mwilini. Lishe bora na ulaji wa virutubishi vya lishe huathiri mfumo wakinga, kwa hivyo njia pekee ilioendelevu ya kuishi katikakipindi hiki cha Covid-19 ni kwa kuimarisha mfumo wa kinga. Mlo sahihi unaweza kuhakikisha kuwa mwili uko katika hali yakushinda virusi.

Leo December 3,2021 Waziri wa Afya hapa nchini Dkt,Doroth Gawajima amekutana na wanahabari pamoja na wadau katika idara ya afya na

Mganga mkuu wa jiji la Dar es salaam Dkt Rashidi Mfaume ametoa taarifa ya mwenendo wa utoaji wa chanjo ya

Waziri wa Afya,maendeleao ya jamiii,jinsia,wazee na watoto Dkt Doroth Gwajima amesema serikali imechukua hatua kadhaa katika kuhakikisha kuwa watoto

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wahitimu wa mafunzo ya muda

Wauguzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru-Arusha wakionesha vyeti vyao mara baada ya kutunukiwa vyeti

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akisisitiza jambo wakati akiongea

Watanzania wametakiwa kuwa na mazoea ya kwenda vituo vya afya kucheki afya zao na kuacha dhana ya kutumia

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona